Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Thursday, May 17, 2012

Kutoka Babati Forum: Uteuzi wa Kwaang'w wazua mjadala mkali

Babati Forum ni mdahalo wa WanaBabati unaopatikana katika mtandao wa kijamii wa Facebook ambapo wadau hao hujadiliana mambo mbalimbali yanayohusu Babati na hata taifa kwa ujumla. Ohayoda limevutiwa na mjadala mkali unaoendelea mkwenye mdahalo huo kuhusu uteuzi wa Omar Kwaang'w aliyekuwa mbunge wa Babati kuwa mkuu wa wilaya ya Kondoa. Wapo wadau wanaomsafisha na wengine wakimshambulia kuwa hakufanya chochote alipokuwa mbunge.
Hii ni sehemu ya mjadala
Tangu uteuzi wa mh.kwaang kuwa DC kondoa naona kuna baadhi ya watu kama Young Odeiga na Lee Amy wanajitahid sana kumsafisha huyu X-mp wetu ambaye bila kuficha nakiri kwamba hajaisaidia bbt chochote kwa mda aliokuwa mbunge.kutokana na hilo basi ili niweze kurudisha iman nae nawaomba wamsafishao watupatie vivid examples za issues ambazo wanababat kila kukicha wanalia nazo ambazo amewahi kufuatilia na kuziwasilisha ktk bunge letu linaloitwa bunge tukufu na kupatiwa ufumbuzi japo wa maneno bila vitendo.
· · · Monday at 8:07pm
 • 2 people like this.
  • Nicholaus Abdon yaani dogo umeongea point, wasitufanye hatujkulia bbt bana, hatutaki unafiki wanasafishana tu, wajue nchi ina wao na wao ndo sisis, hakuna utawala wa kichifu hapa
   Monday at 10:47pm · · 1
  • Young Odeiga Ni kawaida ya mwanadamu huwa hapewi sifa mpaka Afariki ndipo utaona milolongo ya hutuba hivyo tusubiri iko siku sifa zake zitatajwa Na hata zako Kama wakati huu unaonekana hujafanya jambo lolote.
   Monday at 11:23pm via mobile ·
  • Alex Sanday Young!! !!! 2tajie mambo makubwa 5 ya msingi aliyo2fanyie huyo unayempaka kilemba cha ukoka kwa kipindi chake ukizingatia alikuwa na mfuko wa jimbo kila mwaka?
   Tuesday at 12:06am via mobile ·
  • Stephen Abong'o duuuh yaani hapo hata mfano feki hupati co vivid tu
   Tuesday at 12:35pm ·
  • Edwin Engelbert ‎@young,tatizo lako unarely on misemo ambayo haina misingi ya ukweli.kwan wangapi wapo hai na wanasifika kwa mambo waliyoyafanya kwenye majimbo yao???we endelea kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila sisi tunamjua huyu jamaa hajaweza kuwa na msaada kwa miaka yote 15.cha msingi aendelee kutekeleza ilani ya chama kama ilivyo kazi ya ma-DC.HAPA KWETU HATUMTAK
   Tuesday at 12:59pm ·
  • Florah Shao nimeanza kupata wasiwasi huwez jua nyuma ya pazia maana amemshikia kibendera si mchezo kaz ipo wapendwa
   22 hours ago ·
  • Zubeda Omary hamana mtu anayejaribu kumsafisha bt nadhan kila m2 anaweza kuexpress view zake na kila m2 ana utofauti wa uelewa
   14 hours ago ·
  • Rosemary Paul Manda kazi kweli kweli kuwa politician yahitaji moyo!
   2 hours ago via mobile ·

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda