Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Thursday, May 10, 2012

KUTOKA MAKTABA

Hii inaitwa Bung`eda, sijui ilikuwa ya nani ila alikuwa mtu mashuhuri
maana Bung`eda ni mazishi ya watu mashuhuri tu wa Kidatoga

Hili vazi ni full leather na ili uweze kulimiliki kwa sasa jiandae na kama zaidi ya kilo 3 (Shilingi Laki 3)


Raha ya ngoma ya kiiraqw ni jinsi kina dada wanavyopiga ngoma ``punda`` utaipenda rythm yake

Nani kasema wamasai wanaruka juu zaidi? Kitu ngoma ya kidatoga ndo mpango mzima
Picha kwa Hisani ya Bjoerg Evjen Olsen

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda