Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Thursday, May 17, 2012

Kura ya Maoni wiki hii

Baada ya kura ya maoni iliyomalizika wiki iliyopita kuonesha kuwa wasomaji wengi wa Ohayoda kutokuwa na imani na Jeshi la polisi linapokuja suala zima la ulaji wa mlungula, wiki hii Ohayoda inataka kupata maoni ya wasomaji kuhusu huduma ipi ambayo wangependa ipewe kipaumbele na serikali katika mikoa ya Manyara, Singida na Arusha?
Jinsi ya kushiriki, chagua huduma unayopenda kupewa kipaumbele na kisha bonyeza VOTE juu kabisa upande wa kulia mwa blog hii na utaona kura yako inavyoongezeka na kubadili matokeo. Matokeo yatatolewa baada ya siku 7 bila uchakachuaji

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda