Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Thursday, May 24, 2012

KURA YA MAONI WIKI HII: Maji muhimu zaidi

Asilimia 35 ya wapiga kura waliojibu swali la kura ya maoni wiki hii lililokuwa linauliza Je ni huduma ipi ya jamii ipewe kipaumbele katika mikoa ya Manyara, Singida na Arusha? Walijibu MAJI ni muhimu zaidi huku Barabara na Elimu zikiwa katika nafasi ya pili kwa kupata 25% ya wapiga kura kila kimoja na Afya ikipata 15% ya kura zote.
Ohayoda inawashukuru wote walipiga kura na kutoa maoni yao, tunaamini ``wahusika`` huko juu waliko hata kama hawasomi huu mtandao watafikishiwa habari na kufanyia kazi maoni yenu wasomaji

Huu ni mtazamo ya wasomaji na si msimamo wala mapendekezo ya OHAYODA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda