Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Thursday, May 31, 2012

Kura ya Maoni: Hatujaridhika na Wabunge

Matokeo ya kura ya maoni wiki hii kama ilivyopiwa na wasomaji wa Ohayoda yamedhihirisha kuwa wasomaji wote kutokuridhiswa kabisa na utendaji wa wawakilishi wao mjengoni.
Matokeo yanaonesha kuwa 60% ya wasomaji waliojibu swali letu lililokuwa limeuliza 

Je unaridhika na utendaji wa wabunge wako?

walijibu HAPANA huku 26% wakijibu SIJUI na 14% wakidai kuwa HAIWAHUSU na hakuna hata mmoja aliyeridhishwa na utendaji wa hao wala SITTING ALLOWANCES  mjengoni za shilingi 200,000 kwa siku

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda