Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Thursday, May 10, 2012

Kura ya Maoni aka Opinion Polls

Ohayoda itakuwa inakupa fursa wewe msomaji kutoa maoni yako kuhusu maswala mbalimbali yanayojiri katika jamii yetu na nchi kwa ujumla kila wiki.
Swali letu la wiki hii ni ``Idara ipi ya serikali inaongoza kwa rushwa katika mikoa ya Manyara, Singida na Arusha``? Jinsi ya kushiriki, upande wa kulia juu kabisa wa blog utaliona swali na utachagua moja kati ya hizo idara kisha ubonye VOTE, utaona jinsi kura yako inavyoongezeka. HAKUNA UCHAKACHUAJI!

Matokeo yatatolewa kila Alhamisi na yatakuwa si msimamo wa Ohayoda bali ni maoni ya wasomaji!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda