Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Thursday, May 17, 2012

Kumbukumbu Haiozi: Ujenzi wa HLH katika miaka ya 1960

Pichani ni shughuli za ujenzi mkubwa kabisa wa HLH miaka ya 1960 kabla ya kuzinduliwa na aliyekuwa rais wa
Tanzania J.K Nyerere mwaka 1967. Kwa nyuma ni kanisa la zamani ambalo kwa sasa limepanuliwa na kuwa
``Sala room`` ya HLH, na nyuma kabisa ni shule ya msingi ya zamani ambayo kwa sasa ni jengo la
``Child Care Unit`` CCU la HLH

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda