Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Wednesday, May 23, 2012

KUMBUKUMBU HAIOZI: Babati miaka ya 1958

Na Jackson Wilson Makala


Moja kati ya shule za mwanzo kabisa za Babati wakati wa utawala wa kikoloni, kati ya 1955-1958"
Hapa walisoma watoto wa ki zungu, wa Asia na watoto wa Ma Chief akiwemo binti wa aliyekuwa chief wa Babati (Chief Dodo)


Hapa ni pale ilipo BOMA leo hii. Karibu kabisa na kituo cha police cha Babati ambapo wakati huo kilikuwa ni Office ya Local Gov. ya Babati wakati wa Ukoloni.


Hapa ndo ilikuwa sehemu ya kupiga vyombo miaka ya 5O


 Mji ulikuwa wa ki janja siku nyingi, kwa sababu historia inaonyesha hii Bar ilikuwepo kabla ya 1955 na hii picha ilipigwa na mtu anaitwa John 'Jack' Allan mtafiti wa Kiingereza aliyekuja Babati kati ya 1955 na 1959 na alikuwa akikaa maeneo ya Mrara Juu. Mke wake ndo alikuwa mwalimu mkuu wa H.H AGAKHAN SCHOOL.
Nyumba ya John 'Jack' Allan na Mke wake Marjorie Allan walioishi Babati kati ya 1955 na 1959 Mrara Juu wakati wa utawala wa ki koloni wa Muingereza
Picha zote kwa hisani ya Jackson w. Makala

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda