Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Tuesday, May 8, 2012

Joshua nasari kutoa sadaka kanisani

Mtoto Wa Mchungaji ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki amefunguka katika mtandao wa kijamii wa Facebook na Kueleza bayana kuwa Jumapili ya Tarehe 20 May, 2012 anatazamia kutoa Sadaka ya Shukrani kwa kupata Ubunge huo.
Joshua Nasari
Mbunge wa Arumeru Mashariki


  • Kama mnavyokumbuka wakati wa kampeni slogan yangu ilikuwa "tulianza na Mungu, tutamaliza na Mungu". Ninaamini ya Kuwa Ubunge nilipewa na Mungu kupitia watu wa Arumeru mashariki. Nimekuwa jimboni tangu usiku wa siku lilipohairishwa bunge kwa sababu ya mambo Mengi Hususani sintofahamu ya Swala zima la Ardhi na tayari nimeshafanya mikutano Kwenye vijiji kadhaa.

    Kwa sababu tulianza na Mungu na bado tupo na Mungu, jumapili ya tarehe 20 mwezi Huu nitatoa sadaka ya shukrani Kijijini kwetu Kilinga Meru. Ninawaomba wote ambao mtaweza kuhudhuria mshiriki pamoja tumshukuru Mungu.

    Nassari J. MB
    May 7, 2012.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda