Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, May 28, 2012

Hisia za wadau kutokana na SINTOFAHAMU ya wiki iliyopita

Wiki iliyopita ohayoda katika makala yake ya kila Alhamisi ya SINTOFAHAMU iliandika kwa ninin Haydom haina shukrani, baada ya makala hiyo (bofya hapa kama haukuweza kuisoma http://ohayoda.blogspot.com/2012/05/sintofahamu-kwa-nini-haydom-haina.html) na baada ya makala hayo, wadau mbalimbali wametoa hisia zao hasa baada ya mama Kari kuondoka kimyakimya
Hizi ni baadhi ya jumbe mbalimbali ambazo wadau wa ohayoda wamenitumia kupitia sms, barua pepe, facebook na kutoa maoni moja kwa moja kwenye ohayoda.
Afrodenzi
Ohayoda sina la kuongeza. Uliyosema ni kweli kabisa .... kuna watu hapo kazi ni kuangalia matumbo yao tu.
To be completely honest mama Kari na familia yake wameijenga haydom kuliko hata serikali .. wafanyakazi wote wote wa ngazi ya juu ya HLH Shame on you ..... after everything this is how you say goodbye, very embarrassing .. you could do better than Khanga ...
Sam Sasali (Dar es Salaam)
I have red this story ya Mama Kari dhuuu nimeguswa sana na Miaka 50 ya Mama huyu Kutumikia Hydom kisha mkamchinjia baharini, Nakupongeza sana kwa Aina ya Uandishi wako, Nimependa Ulivyofunguka, Keep It Up Bro...nime ku feel sana Kitu kati
James 
Sina cha kusema kaka ila hongera sana Kaka na Sintofahamu,Ila Juma Kiroboto alisema "Ubinadamu Kazi"
Jane 
kiukweli hawa watu hawana ubinadamu kabisa kwani wanapenda kupewa tu hawataki kuonyesha ubinadamu kiukweli huyu bibi angetakiwa apewe usafiri wa ndenge siyo kwenda na gari unajua ni aibu kwa shujaa kama huyu kurudi kwao bila amani inauma sana maana naskia hata hilo gari lenyewe ilikuwa mbinde kulipata mpaka ikafikia hatua ya kutaka kulilipia mwenyewe, jamani kweli hii ni haki?
Awet A 
Mhhhh!!!! Nimesoma hii makala, sikuweza kumalizia duh! kweli inatia uchungu, inasikitisha! watu wasio na shukrani! jamani! jamani! jamani! hiyo dhambi itaendelea kuwatafuna!
yani acha kabisa, kuna masista walianzisha kituo cha afya kule kwetu Rhotia, ila nashukuru kuagwa waliagwa vizuri japo walikuwepo kundi fulani la watu wasio na uzalendo waliokuwa wanakwamisha juhudi zake za kuleta maendeleo.
NY, MAMA KARI ALISTAHILI APPRECIATION YA HALI YA JUU SANA!
km ulivosema, ni mwanamke gani ambaye unaweza hata ukamtoa Dar ukampeleka Haydom ya leo akaishi?
WAkati hyu mama katoka Ulaya na Kuja Porini? halafu leo aondoke kimya as if ndo kafa na kuacha kazi za mikono yake kimya kimya?
Kweli Sintofahamu.
Mdau wa Haydom
Kaka imenisikitisha sana sina cha kuongeza zaidi ya uliyoyasema, nasikia hata alipopitia Mbulu kuaga Dayosisi (KKKT) hata hawakuwa na time naye. 
Joseph (Arusha)
Hivi nani haswa anapaswa kulaumiwa katika hilo? Lazima kuna jambo hapo, katika hali ya kawaida watu hawawezi wakakosa shukrani namna hiyo, labda aliwavuruga hao "vigogo" wa huko
Hajajitambulisha (kupitia sms)
Kaka tunashukuru kwa makala nzuri sana japo inasikitisha, tunaamini kuwa wahusika watajirudi pasipo kuweka visasi na kuanza kusaka mchawi
John Bura (Arusha)
Kaka makala hii imenigusa na imenisikitisha sana
Hajajitambulisha (kupitia sms)
Nimeisoma makala yako, bado naitafakari
Jackon William (Babati)
LOADING..............please wait
Mbunge mtarajiwa
Hivi hao wanaojiita wabunge wetu wanayafahamu haya? Shame on them
H. Tlawi (Haydom)
looo kweli leo nimeguswa na makala ya sintasahau huyoooo mama kari kaondoka ujumbe mzito kwanini usiuprint hard copy iwe hadhari ili watu hawa wauone aibu kweli hata ndege mzee kama yule asafiri rough road wkati wakuu hao kwa semina ndogo wataruka kwa anga imeniumaaaaaaaaaaaa basi tu

    • Emanuel Bayo 
      Mh! Nahisi chozi linanidondoka bila kujitambua, nahisi kuumia moyo sana kwa hii makala niliyoisoma! Hv jamani viongoz we2 mnataka mungu awafanyie nin ili mjitambue? Jaman hata shukrani hamnaga mh!....masikini mama Kari

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda