Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Tuesday, May 8, 2012

Barabara ya Magara: Hakunaga Afrika Mashariki

Kila nikiwa nasafiri toka enzi nasoma shule ya sekondary mpaka leo hii kutoka haydom kwenda Arusha kwa usafiri wetu maarufu wa ``Kruza`` siachi kushangaa jinsi wajerumani walivyoipitisha hii barabara milimani, kuna siku nilihesabu inakona ngapi nilichoka nilipohesabu zaidi ya kona 105 ndani ya kilometa 19! Kuna wakati nawaza hivi ikatokea gari likaanguka kule bondeni ambapo hata jicho halifiki, nadhani hata tairi halitaokotwa.

Mwanzo wa kona kibao
Bila 4x4 sahau kupita hii barabara, na kama ni mwoga andaa ``asante mteja`` ili usichafue gari! Pana mandhari mazuri sana ya kuvutia! Kwa wale wageni, hakika hamtajuta kupitia hii barabara
Barabara ya Magara, ni HAKUNAGA Afrika ya Mashariki, kama unabisha njoo ujionee

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda