Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, May 21, 2012

Bado siku MBILI TU! Mama Kari awaaga wanafunzi wa Chekechea Haydom


Mama Kari akitoa zawadi kwa wanafunzi wa shule ya awali Haydom

Zawadi toka kwa mama Kari

Kwaherini wajukuuuu

Huyu dogo alimshukuru mama Kari kwa niaba ya wenzake siyo kwa zawadi tu bali
kwa kuwajengea shule hiyo


Zawadi kutoka kwa wanafunzi

Watoto walimpa zawadi kuwapelekea watoto wa Norway

Kwa heri ya kuonana bibi, tutaonana mbinguni


Shule ya awali ya Haydom iliyojengwa kwa msaada mkubwa wa Mama Kari

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda