Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Saturday, May 12, 2012

Babati Forum watamani Tanzania iwe na rais Paul Kagame wa Rwanda

Wadau wanaotoka Babati wameeleza kiu yao ya kuwa na rais makini kama Paul Kagame wa Rwanda. Wakijadili katika mdahalo maarufu katika mtandao wa kijamii wa facebook unaoitwa BABATI FORUM baada ya Nicholaus Abdon kuandika kuhusu Kagame. Haya ndiyo majadiliano yao
PAUL KAGAME....kiongozi makini kuliko wote Africa kwasasa hayupo wa kumfikia!!.........ktk ufisadi...amemfunga waziri wa Elimu kifungo cha miaka 27 jela kwa kosa la kula 10%....ktk mradi wa computer kwa watoto wa shule za msingi...na huyo waziri alie fungwa NIMTOTO WA SHANGAZI YAKE ....Poul kagame.....kila familia masikini imepewa ng'ombe wawili wa maziwa....hakuna kiongozi wa RWANDA anae tibiwa Ulaya au INDIA wote wanyarwanda nisawa na hutibiwa rwanda.......Ruswa ni ADUI wahaki wanyarwanda wanalijua hilo na ..RAIS Poul kagame kasimamia MISINGI imara ya maendeleo nani kama ....POUL KAGAME!?
 ·  ·  · May 2 at 9:47pm

1 comment:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda