Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Thursday, May 3, 2012

BABATI DAY YAONGOZA KIDATO CHA SITA MKOA WA MANYARA

Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Babati (Babati Day) imeongoza katika matokeo ya mitihani ya taifa kidato cha sita mkoa wa Manyara 2012 kwa shule zenye wanafunzi zaidi ya 30. Shule ya sekondari Nangwa imeshika nafasi ya pili na Shule ya sekondari Dareda ikishika nafasi ya tatu. Nafasi ya nne imeshikwa na Singe, Dr. Olsen ikishika nafasi ya tano na nafasi ya mwisho kimkoa ikienda Imboru.
Matokeo kamili ni kama yanavyoonekana hapa chini


SHULE
MATOKEO
KIMKOA
KITAIFA
Babati Day
DIV-I = 7 DIV-II = 24 DIV-III = 29 DIV-IV = 3 FLD = 0

1/6
46/326
Nangwa
DIV-I = 7 DIV-II = 36 DIV-III = 71 DIV-IV = 3 FLD = 0

2/6
70/326
Dareda
DIV-I = 5 DIV-II = 20 DIV-III = 41 DIV-IV = 9 FLD = 5
3/6
139/326
Singe
DIV-I = 4 DIV-II = 9 DIV-III = 51 DIV-IV = 18 FLD = 1

4/6

204/326

Dr. Olsen
DIV-I = 0 DIV-II = 5 DIV-III = 23 DIV-IV = 11 FLD = 7

5/6

288/326

Imboru
DIV-I = 0 DIV-II = 5 DIV-III = 26 DIV-IV = 8 FLD = 12

6/6

299/326

Aidha kwa upande wa shule zenye wanafunzi chini ya 30, Seminary ya Sanu imeongoza kimkoa kati ya shule tatu na 16/155, huku Genda sekondari ikishika nafasi ya pili na 31/155 kitaifa na Aldersgate ikishika nafasi ya tatu na 63/155 kitaifa.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda