Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, May 14, 2012

Amani Ward Katika Picha


Gym ni muhimu sana kwa ajili ya mazoezi

Wawapo Amani ward, waathirika hufanya shughuli mbalimbali za  uzalishaji
hii ni bustani ya mbogamboga

Amani Ward, tumaini la wengi

Gift na Richard katika pozi

Yona Hosea kutoka Karatu Lutheran Hospital

Hawa jamaa walinipa ushirikiano mkubwa sana, hapa nilikuwa
napiga nao story kwenye ``recreational room``

Washikaji wamedhamiria kuacha pombe na madawa ya kulevya
Big Up sana

Gift na Hemedi Miraji a.k.a Malebo trans, Erick na Yona Hosea

Ilibidi nipozi na washkaji zangu, wapo poa sana


Michael Emmanuel, mhitimu kutoka chuo cha diplomasia Dar es salaam
anatokea Arusha

Richard na Michael, hawa jamaa wa Ukweli ile mbayaaaa

Nje ya wadi

Michael chalii kutoka A-town

Malebo trans akiwa na mhudumu wa wadi

Malebo trans akiwa na Paulo Tango

Pokeeni vipeperushi

Paulo Tango akisoma ``homa sheet`` ya moja wa wagonjwa

Erick na Gift wakifanya usafi, Gift akafunguka kuwa mama akimwona anafanya usafi
atafurahi sana....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda