Kweli

NANYI MTAIJUA KWELI.....NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU....NANYI MTAKUWA HURU KWELI KWELI

Mbiu ya Jamii

Tangaza Biashara yako hapa...wasiliana nasi sasa kwa 0753038005

WELCOME TO HAYDOM CULTURAL FESTIVALS 2013

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA

NORWEGIAN CHURCH AID TANZANIA
PROUD PARTNERS OF HAYDOM FOUR CORNERS CULTURAL PROGRAMME (4CCP)

Monday, April 30, 2012

OHAYOOOODA, OHAYOOOOODA, OHAYOOOOOODAAAAAA!

Karibuni wadau hasa wenyeji wa mikoa ya Manyara, Arusha na Singida katika hili baraza letu jipya kabisa. La mgambo lishalia, tujumuike wote katika kupeana habari, kuelimishana, kukemea mabaya na kuchochea mazuri yanayoendelea katika jamii yetu. Usisite kutushirikisha habari yeyote hasa yanayojiri katika jamii yetu ili na wenzetu waliombali waweze kupata kujua yanayoendelea nyumbani.


Tuwasiliane kupitia 0784238225-0718431991 au 0762395424
au barua pepe amanipaulit@gmail.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Ohayoda